Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Rais Barack Obama wa Marekani . Stori: Harun Sanchawa na Hamida Hassan Utapeli mzito umeshamiri Bongo ambapo imebainika kuna taasisi iliyojipachika jina la Tanzania Loan Society inayojieleza kuwa inafadhiliwa na Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano wa Serikali ya Marekani huku ikiwarubuni watu kuwa inatoa mikopo bila riba. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Jakaya Mrisho Kikwete. Ipo kimtandao zaidi Taasisi...