"Huyu
anaitwa Afande John kapata ajali mbaya mpaka kufariki maeneo yaKisarawe
huyo yupo pale myfair TRA upande wa leseni za magari (Driving licence)
pole kwa jeshi la polisi pia na familia mwenyezi mungu ailaze roho yake
pema peponi Amen. Ni kipenzi cha wengi. Taarifa zaidi zitawajia hivi
punde, endelea kufuatilia hapa...!
Jumatatu, 8 Septemba 2014
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni