Baadhi ya wanafunzi
wa CBE Dodoma wamekerwa na kitendo cha kuchafuliwa kwenye mtandao wa
Intagram na mtu ambaye hawajamfamu kwa jina ingawa baadhi yao wanadai
kuwa ni mwanafunzi mwenzao ambaye anatumia jina tofauti kabisa na lake
na pia yupo miongoni mwao lkn bado hawajamfahamu....
Mwanafunzi huyo anayetumia Ac Feki ya Instar anaposti picha za wanafunzi
wenzake na kuwaponda kuwa ni malaya wanaouza K.... pamoja na kuwachafua
wengine kuwa ni mashoga. Baadhi ya wanafunzi walio wengi wa CBE
wamechukizwa na kitendo hicho cha
kuchafuliwa bila sababu yoyote na wamedhamiria kumsaka huyo mtu kwa
gharama yoyote ili aweze kuwajibishwa:Instargram anatumia jina
LEE_IN_BOY
Jumapili, 6 Julai 2014
MAPAKA NOMA:WANAFUNZI WA CBE WANAOPIGA PICHA ZA NGONO WATUKANANA MITANDAONI..
06:46
No comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni