.

Jumamosi, 5 Julai 2014

Dr Jose Chameleone ametoa wimbo mpya unaitwa Walewale,usikilize hapa

walewale
Mkali huyu kutoka Uganda ambaye nyimbo zake Badilisha na Valuvalu bado zinapendwa, ametoa wimbo mpya unaitwa Walewale. Kama kawaida yake ameimba kwa lugha ya kiswahili akichangaya na lugha ya kiganda. Unaweza kuusikiliza na kudownload hapa.


0 comments:

Chapisha Maoni