.

Jumapili, 6 Julai 2014

JAMANII DIAMOND BADO NI SUKARI YA WAREMBO,CHEKI WAKISHINDWA KUJIZUIA MBELE YAKE



Unaweza kuzani misemo mingine haina ukweli wowote. ila kwa hili ndipo utagundua kuwa kweli lisemwalo lipo, hii ni moja kati ya show zake, na angalia jinsi warembo wanavyoshindwa kujizuia mbele yake, hapa akiwa katika moja ya show zake za hivi karibuni, inasemekana hii ilikuwa ni private party flani hiv

0 comments:

Chapisha Maoni