.

Alhamisi, 3 Julai 2014

Mabibi na Mabwana! Snura anayofuraha kuwaalika kutazama hii video yake mpya

Screen Shot 2014-07-04 at 1.52.19 AM
Staa wa ‘majanga’ Snura amerudi tena kwenye screen yako na hii video mpya ambayo imefanywa na AJ a.k.a Adam Juma wa Visual Lab, ambapo hii inakua single ya tatu kwa Snura kumiliki headlines baada ya single ya ‘majanga’ kisha ‘nimevurugwa’

<< PLAY APA>>

0 comments:

Chapisha Maoni