Umri wake anaonekana bado mdogo lakini amejaribu
kufanya kitu ambacho ukikitazama unaweza kujua nini alichokusudia
kufanya,sijajua ni kutoka nchi gani huyu dogo nimekutana nayo facebook
nikaona nikuonyeshe na wewe mtu wangu.
Asilimia kubwa hapo inaonekana katumia mabomba ya sindano ambayo kwake ndiyo kama yanaendeshea hiki kijiko.
Bonyeza play ucheki hii video alichokifanya huyu dogo.
<< PLAY HAPA>>
Alhamisi, 3 Julai 2014
Kama ukiambiwa utoe asilimia utatoa ngapi kwa huyu Dogo? Bagikan :
21:04
No comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni