.

Alhamisi, 5 Juni 2014

Picha: Mrembo wa Young Killer aonesha kwenye swimming pool kilichomfanya apewe nafasi ya ‘Umrs Supastaa’


  mrembo wa rapper wa ‘Mrs Supastaa’ Young Killer aitwaye Halimaty ameendelea kumake headlines kwa picha zake kwenye mtandao wa Instagram. Na sasa ameamua kuwaonesha followers wake umbo lake lililomfanya apate cheo cha ‘Umrs Supastaa’ kutoka kwa Young Killer. Jionee.




0 comments:

Chapisha Maoni