Sitaki tena....Ndivyo
unavyoweza kusema kutokana na kauli ya
nyota wa filamu za kibongo Mirium Jolwa
"Jini Kabula" ambaye amedai kuwa kwa
sasa hataki kusikia mapenzi ya pesa
na kama kuna mwanaume anayemtaka basi
amfuate nyumbani na si kuitana baa.....
Kabula
alisema kuwa wanaume wengi wamekuwa na
tabia ya kuitana baa huku wakihisi
kuwa kila mwanamke ni mlevi kutokana na
tabia ya baadhi ya wasanii ambao
wamekuwa wakijirahisisha kwa kupewa pombe...
"Siwezi
kuvua nguo eti kwa sababu ya pombe
wakati hata mwenyewe naweza kukaa baa
na kunywa kwa pesa zangu.
"Kama
kuna mwanaume anataka kutulia na mimi
si lazima tukae baa kwani kuna sehemu
nzuri mnaweza kukaa na kuzungumza, nasema hivi
ili wale wenye tabia hizo waache
kabisa," alisema
0 comments:
Chapisha Maoni