Makundi mengi ya vijana ndani ya mtandao wa facebook yamekuwa na imani kuwa msanii Rehema Chamila anaweza kuwa mtetezi wao mkubwa endapo ataamua kuingia kwenye siasa...
Vijana hao
wanaamini kuwa Ray C kwa sasa amepitia
changamoto nyingi hivyo wanaamini kama
akipewa nafasi ya kuingia bungeni inaweza
kuwa chachu ya yeye kupigana na watu wanaoingiza
madawa ya kulevya nchini na kuwaokoa
vijana wengi wanaopotea kutokana na matumizi
ya dawa hizo
"Ray C kwa
nini asiingie tu kwenye siasa na
akatutetea kwenye mambo ambayo hata yeye
alikutana nayo hadi yakataka kumtoa roho,
tunaamini anaweza endapo ataamua kufanya
hivyo" alidai kijana mmoja ndani ya
mtandao wa facebook
0 comments:
Chapisha Maoni