.

Jumamosi, 7 Juni 2014

Hizi ndizo hadhari za kunywa "VIROBA" kwa niaba ya kumkomoa Demu wako juu ya 6x6


Tafadhali usimnywee demu wako viroba humkomoi yeye unajikomoa mwenyewe,ukiendeleahivyo iko siku utashindwa kusimamisha kabisaaaa mwisho wa siku utaanza kwenda kwa waganga kutafuta dawa. Hao wanawake za watu unaowasemea tatizo kubwa la waume zao wengi ni

1. Uchovu: wengi wanakuwa na majukumu hata muda wa kufanya mapenzi na wake zao wanakosa kwasababu kazi zimemzid kila akirudi home kachoka hoi hajiwezi
2. Kisukari: Huu ugonjwa unasumbua wengi sana mtu mwenye kisukar kuridhisha mwanamke ni kazi sana japo kuna wengne wanajitahidi kwa hlo


3.Nyumba ndogo: Nina uhakika 100% kubwa wana wanawake nje na ndiyo inapelekea kushindwa kumtimizia mkewe ndani, kama ujuavyo nyumba ndogo shughuli yake nzito sasa jamaa akitoka huko kakwanguliwa kila kitu hata miguu inamtetemeka unadhani atawezaje kupiga game?
4. Maelewano mabovu pia huchangia, kama ndani ya nyumba kuna maugomvi kila siku sidhani pia kama hawa watu watakuwa wanaridhishana Kutokana na hizo sababu chache wanawake wengi sana ndani ya ndoa zao hukosa
OKOA NDOA ZA WATU KWA KUSHARE UJUMBE HUU

0 comments:

Chapisha Maoni