Staa wa Shindano la Maisha Plus ambaye sasa ni muigizaji, Upendo Mushi ‘Pendo’
Akitema stori mbili tatu na paparazi wetu katika
msiba wa dairekta George Tyson baada ya kumuona Kalala kwa mbali, Pendo
pasipo kufafanua kwa undani, alisema anampenda kuliko maelezo nyota huyo
wa muziki wa dansi.
“Jamani niwe mkweli tu, nampenda sana Kalala tuweke utani pembeni na mwenyewe anajua sababu nilishawahi kumwambia,” alisema Pendo.
Risasi linaendelea kuwachimba wawili hao, mzigo ukikaa sawa, tutawajuza.

0 comments:
Chapisha Maoni