.

Jumatatu, 12 Mei 2014

USICHEKE SANA LAKINI 2014 TUNAOMBA SERIKALI ISIMAMIE YAFUATAYO:

USICHEKE SANA LAKINI
2014 TUNAOMBA SERIKALI ISIMAMIE
YAFUATAYO:
1.mapenzi ya dhati yarudi km enzi za
mababu zetu
2.Nauli ya ndege kwenda South Afrika
iwe bure coz ni mteremko
3.Sukumawiki ichunguzwe kwanini
haiwez sukuma mwezi au mwaka
3.Siku za mwizi zifike walau 70 sababu
uchumi umekuwa mgumu
5.Njiti za kiberiti ziwekwe pande zote
la sivyo wachonge upande mmoja
tutumie kama toothpicks
6.Chumvi iuzwe bei ya sukari na sukari
bei ya chumvi
7.Pombe ijazwe chupa...hii tabia ya
kuacha nafasi kidogo ni kutuibia
8.Donati zisiwe na shimo katikati...la
kazi gani?
9.Vocha za buku ziuzwe mia tisa tupate
mia za kukwangulia

0 comments:

Chapisha Maoni