.

Jumapili, 11 Mei 2014

PEDESHE mmoja kapanda basi Ubungo akiwa anaelekea Moshi, akajikuta kapata kiti kimoja na binti mzuri ambaye

PEDESHE mmoja kapanda basi Ubungo akiwa
anaelekea Moshi, akajikuta kapata kiti kimoja na
binti mzuri ambaye alikuwa na novo yake na
simu kali anatuma ujumbe kwenye whatsapp.
PEDESHE : Binti hujambo? naona tuko siti
moja..... Binti kamuangalia jamaa toka juu
mpaka chini kisha kwa dharau akashusha
mawani yake ya jua na akavaa headphone zake
na kuendelea na shughuli zake. Msafara ukaenda
kwa masaa kadhaa hatimae karibu na Korogwe
gari likasimama ili watu wakale. Kabla ya
kuinuka Pedeshe akatoa bulungutu kubwa la noti
na kutoa kumi mbili ili kununua chakula, binti
kuziona tu macho yakamtoka, akavua
headphones na kumuangalia Pedeshe kwa jicho
la mahaba.
BINTI : Nilisikia kama umenisalimia, mi sijambo,
shkamoo dadii karibu kiti

0 comments:

Chapisha Maoni