.

Jumatatu, 12 Mei 2014

Ilikuwa hivi..................................................


 Ilikuwa hivi jamaa kaokota wallet yenye pesa na kadi benki pamoja na namba za siri ss jamaa akaona bora apige cm kituo cha radio
Jamaa: habar hapo radio station
Radio sta: yah 2kusaidie nn
Jamaa: nimeokota wallet ya m2 ina pesa nyng kadi ya pamoja na namba ya siri
Radio st: ss ungependa kumrudshia mwenyewe km anakuckia wakat huuu
Jamaa: hapana napenda kumuombea wimbo wa snura majanga umfikie popote alipo asanten

0 comments:

Chapisha Maoni