.

Jumamosi, 24 Mei 2014

DIAMOND ASEMA ANAPENDA KUSAIDIA JAMII KULIKO STAREHE









Jambo la kusaidia makundi mbalimbali ya watu wasiojiweza katika jamii kama, wajane, yatima, wazee na vikongwe, ni jambo la kistaarabu na kiungwana pia ni baraka kubwa toka kwa mwenyezi Mungu. Kwani hata waswahili husema Chema kula na wakwenu, maneno haya yamedhihirishwa na msanii Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platinumz.


0 comments:

Chapisha Maoni