hii ilitokea club billicanas ambapo bishoo huyu alijikuta akisachiwa na mtoto huyu wa kike kwa kupandishiwa sauti na kurushiwa maneno makali, mapaparazi walifanikiwa kuzipata picha za tukio japo haikujulikana mar moja nini kilikua chanzo cha ugonvi huo hata hivo watu waliokuwepo waliingilia kati ugonvi huo hivo kuepusha balaa
0 comments:
Chapisha Maoni