.

Jumamosi, 21 Juni 2014

BIFU LA ALI KIBA NA DIAMOND SASA LAFIKIA PABAYA


Baada msanii Alikiba na Diamond kuwa na ugomvi uliotokana na kunyimana Collabo katika kazi zao za Muziki mapya yameibuka bifu limehamia katika upande wa pili wa maisha yao. Kupitia ukurasa wa Tweetter Msanii Diamond ametoa post ya kumkejeli msanii Alikiba:-




DIAMOND: "INASEMEKANA SINGLE BOY AMEJENGA NYUMBA LAKINI KUFIKA JUU KWENYE RINTA IKABIDI ASTOP NA KUJIUNGA VICOBA WAMEMKOPESHA PESA NDIO ANAMALIZIA NYUMBA YAKE TABATA HAHAHAHAHAHAHAHAHA."




Baadhi ya Mashabiki upande wa Ali Kiba hawakuonesha kufurahishwa na alichokiandika Diamond wengi walikwazika sana na kuanza kumtukana baada ya dakika chache Diamond akafuta ile post Tweetter.

0 comments:

Chapisha Maoni