Baada ya mashabiki wa Wema kuamua kuanzisha kampeni maalum dhidi ya Diamond wakimtaka amrudishe wema wao kwenye game walilomzoea #BringBackOurWema, mashabiki wa Diamond nao wameibuka na yao.
Katika Instagram imefunguliwa akaunti maalum ya watu wanaojiita TeamDiamondTz nao wameanzisha kampeni ya kumtetea Diamond huku wakimtaka Wema kuachana na starehe zisizo na faida kama alivyosema Diamond.
- See more at: http://mdadisihuru.blogspot.com/2014/08/wema-atukanwa-na-mashabiki-wa-diamond.html#sthash.DkssuhMR.dpuf
IRENE UWOYA: HAKUNA VAZI NISILOPENDA KULIVAA KAMA CHUPI
Mdadisi Huru WASANII No comments
Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya burudani ya VIBE.
Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lake, “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya. - See more at: http://mdadisihuru.blogspot.com/2014/08/irene-uwoya-hakuna-vazi-nisilopenda.html#sthash.yUe0mCzK.dpuf

Jumatatu, 18 Agosti 2014
WEMA ATUKANWA NA MASHABIKI WA DIAMOND
06:04
No comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni