STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah’ amefunguka juu ya tetesi zinazoeneo kuwa na uhusiano wa chinichini na Nasib Abdul ‘Diamond’ kwa kusema kuwa siyo levo yake.
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah’ akiwa ndani ya studio za Global Tv Online.
Akichonga na paparazi wetu, Meninah anayetamba na ngoma ya Pipi ya Kijiti alikanusha na kusema kuwa, wote ni mastaa lakini wametofautiana kwa kiasi kikubwa na kwamba hawezi kuwa naye katika mahusiano ya aina yoyote.
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’
“Kwanza nilishawahi kukutana naye kwenye shoo tofauti na zote sikuwahi hata kuzungumza naye chochote, ni staa na mimi staa lakini tunatofautiana kuwa yeye yupo juu yangu,” alisema Meninah. - See more at: http://mdadisihuru.blogspot.com/2014/08/meninah-hatuendani-na-diamond.html#sthash.lZxnVCMj.dpuf
Jumatatu, 18 Agosti 2014
MENINAH: HATUENDANI NA DIAMOND
06:02
No comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)






0 comments:
Chapisha Maoni