.

Jumamosi, 16 Agosti 2014

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA::MWILI WA ALBINO WAKUTWA UMETUPWA MAENEO YA KINYEREZI.PICHA 8 ZA TUKIO ZIKO HAPA





Inasadikiwa mtu huyu amekuja kutupwa eneo hili kutoka eneo jingine ambalo halijajulikana bado.Mwili huu umekutwa eneo hili la segerea kinyelezi jiji Dar es salaam na watoto ambao walikuwa wakikata miwa huku ukiwa umeharibika na umekatwa shingo na kung'olewa macho yote mawili na mpaka sasa hajafamika tayari police wamechukua mwili huo kwa uchunguzi






































0 comments:

Chapisha Maoni