Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake...
Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi sawa Nimechoka kukaa peke yangu upweke noma sana...Nataka mtu Mstaarabu, Mpole kiasi ,
Mchapa Kazi mwenye Kupenda Maendeleo...
Kama Vipi wacha e-mail yako ama number ya simu...ntaamua yupi nimtafute nijaribu.
Jumamosi, 16 Agosti 2014
NATAFUTA HATA BOYFRIEND TU JAMANI UPWEKE UNANIUAA!! ONA HAPA
22:04
3 comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0784 613 535
JibuFutaChrisayoub110@gmail.com
JibuFutaNipo hapa; amonmwakamele@gmail.com
JibuFuta