.

Jumamosi, 9 Agosti 2014

SASA NIDHAHILI KUWA PETITMAN ANATOKA NA DADA YAKE DIAMOND!!!




Hivi karibuni kumekua na tetesi za chini ya kapeti kuwa dada yake msanii Diamond, Esma ana mahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi wa ENDLESS FAME, Petitman maarufu kama Mutoto ya Madame Wema au Petitman Wakuache....sasa leo hii imebainika wazi kua wawili hao ni wapenzi... Ilianza hapa.... MENEJA wa Wema Sepetu, Martin Kadinda aliweka picha hii kwenye ukurasa wake wa instagram ana kuandika 
Akiashilia kuna kitu hapa........






0 comments:

Chapisha Maoni