Baadhi ya waigizaji wa kipindi cha orijino Komedi kutoka kushoto ni Joti, Wakuvanga, Mpoki, Masanja mkandamizaji na Maclegan.
KUNDI maarufu la vichekesho ambalo kwa sasa ni kama halipo, limepata
pigo kubwa baada ya aliyekuwa meneja wao, mtangazaji nyota wa zamani wa
televisheni, Christina Mosha maarufu kama Seven, kuwamwaga na hivyo
kuachana nao.
Akizungumza na gazeti hili juzikati, Seven alisema ameachana nao baada
ya mkataba wake wa sasa kumzuia kufanya kazi na watu wengine zaidi ya
walio chini ya mwajiri wake mpya.
“Hivi sasa niko na Sony, wao wananizuia kufanya kazi na wasanii ambao
hawako nao, hivyo baada ya mkataba wangu na wao kumalizika, nimeamua
kuachana nao.
Aliyekuwa
meneja wa kundi la Ze Comedi, mtangazaji nyota wa zamani wa
televisheni, Christina Mosha maarufu kama Seven akifafanua jambo.
Mimi ni mwakilishi wa Sony barani Afrika, ninashughulika na wasanii toka
nchi tofauti za Afrika, kama Senegal, Kenya na kwingineko kasoro Afrika
Kusini,
Alhamisi, 21 Agosti 2014
KUNDI LA ORIGINO KOMEDI WAMWAGWA
12:25
No comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni