.

Alhamisi, 21 Agosti 2014

HI ADMIN, NAITWA LISSA KUTOKA MBEZI DAR,NATAFUTA RAFIKI WA KIUME AMABAYE ATAKUWA MUME WANGU MWENYE SIFA ZIFUATAZO....



Awe mkristo,umri chini ya miaka 35, sababu
mimi nina miaka 22, Awe amesoma angalau hadi form six ...mimi nina degree ya Computer Science .Awe mwenye kazi inayoeleweka, anaishi kwake....mwenye maisha ya kati na kuendelea....Awe hana mtoto..yoyote atayekuwa tayari anitafute kupitia ujumbe kwenye

0 comments:

Chapisha Maoni