WAKATI mastaa hupendelea kufanya shopping katika maduka makubwa, msanii
wa filamu Miriam Jolwa maarufu kama Jini Kabula, mwishoni mwa wiki
iliyopita alinaswa akichagua gauni alilodai ni la harusi katika duka la
mitumba lililopo Makumbusho jijini Dar.
Msanii wa filamu, Miriam Jolwa maarufu kama Jini Kabula akiwa na rafiki yake Isabela wakifanya shopping katika duka la mitumba.
Msanii huyo akiwa na rafiki yake, Isabela walikutwa wakiwa bize katika duka hilo linalofahamika kama kwa Mzee wa Pamba.
“Kwani kuna ajabu gani mimi kuja kununua gauni la harusi yangu mtumbani?
Watu wanashidwa kuelewa kuwa magauni ya mitumba ni mazuri sana” alisema
baada ya kuulizwa kulikoni asiende kwenye maduka makubwa ya nguo
Alhamisi, 14 Agosti 2014
JINI KABULA WA BONGO MOVIE ANASWA MTUMBANI
05:48
No comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni