Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa
radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama
Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa
karibu sana.
chanzo cha kuvunjika ndoa hiyo bado hakijajulikana moja moja kwa moja ila wawili hao wamekuwa katika migogoro kwa muda.. na si mara ya kwanza kutengana ila this time hali si shwari. yazidi kusemekana kaka Gardner kazidi michepuko amekua haibi tena anafanya bayana mpaka mwenye mali anajua anavyoibiwa.
Gardner kabla ya kumuoa Jide alikua tayari na mke halali wa ndoa na mtoto mmoja

0 comments:
Chapisha Maoni