Vijana wakipata joto ya jiwe baada ya kukutwa mchana
wa Ramadhaan Machomanne Chake Pemba wakifanya mambo kinyume na maadili
ya mwezi mtukufu.
Elimu bado inahitajika kwa waumini kuweza kufahamu na kuelimishwa kuhusiana na funga kwani licha ya kuwa ni amri kutoka kwa Allaah Subhaanahu Wata'ala pia ni moja katika nguzo kuu tano za dini ya kiislamu.
Kula kwa makusudi au kufanya jambo litakalobatilisha funga kwa makusudi mchana wa Ramadhaan si kwamba kunabatilisha funga tu bali kunaweza kukutoa katika dini pia kwa mujibu wa baadhi ya Maulamaa kwa kuikana moja katika nguzo za kiislamu.
Tusichoke kuwakumbusha ndugu umuhimu wa kujitambua na kujielewa kwamba ni Waislamu na tutaulizwa na Muumba siku ya siku

0 comments:
Chapisha Maoni