.

Jumatano, 9 Julai 2014

Gharama Za Video Mbili Za Diamond Ziko Hapa.


Ni kazi zilizoshika vichwa vya habari Tanzania na Africa mashariki kwa ujumla,Video za Diamond za kazi mbili ambazo ni Bum Bum Ft Iyanya na Mdogo Mdogo ambazo kwa mujibu wa Manager Bab Tale zimegharimu Dola za Kimarekani 78,000 ambazo ni zaidi ya milioni 130 za Tanzania.

Kimahesabu video ya Bum Bum Ft Iyanya iliyofanyika Uingereza imegharimu dola 38,000 na video ya Mdogo Mdogo iliyofanyika South Africa imegharimu dola 40,000.

Gharama zote hizo ni kwa kila kitu kilichohitajika na waongozaji wa video.

0 comments:

Chapisha Maoni