.

Alhamisi, 24 Julai 2014

TAZAMA PICHA_HILI NDIYO LORI/FUSO LILILOUA WAFANYABIASHARA WATATU NA KUJERUHI 46 LEO HUKO KISHAPU- SHINYANGA

Wakazi wa kijiji cha Uchunga wakiwa katika
eneo la tukio leo.
Wafanyabiashara watatu wamepoteza maisha
na wengine 46 wamejeruhiwa vibaya.
lori lenye namba za usajili T680 ARL aina ya
Fuso lililokuwa limepakiza mizigo na
wafanyabiashara ambao idadi yao bado
haijajulikana likitokea kijiji cha Kiloleli
wilayani Kishapu kwenda katika mnada wa
Mhunze uliopo Kishapu,likiwa katika eneo la
tukio katika kijiji cha Usunga kilometa chache
kufika eneo la mnada

0 comments:

Chapisha Maoni