Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja
anayedaiwa kuwa na matatizo ya akili (pichani )
amekutwa na maiti ya mtoto wa kiume mwenye
umri wa miaka mitano katika mji wa Lagos nchini
Nigeria mapema jana asubuhi.
Mbali na kukutwa na maiti ya mtoto huyo,kichaa
huyo picha amekutwa na rundo la hirizi