Baada ya kupiga tizi na kupunguza uzito sasa rapper
Rick Ross ameingia kwenye mapenzi tena na huyu mtoto mzuri anayefahamika
kama Paige Imani kutoka Miami. Weekend hii model huyu ameweka wazi
mahusiano yake na Rozay kwa kumwaga picha zao wakiwa pamoja.
0 comments:
Chapisha Maoni