.

Alhamisi, 24 Julai 2014

Mabibi na mabwana! huu ndio ujio mpya wa Ali Kiba na single zake mbili mpya ziko hapa



Screen Shot 2014-07-24 at 11.14.07 PMNajua mashabiki walikua wanaisubiria sana hii post ambapo good news zaidi ni kwamba Ali Kiba ameachia single mbili mpya kwa wakati mmoja na moja inaitwa “Mwana” na nyingine “Kimasomaso”.
Tunamfahamu staa huyu kama mkali wa hit single kama Cinderella, Mapenzi yanarun dunia, Single boy, na Dushelele lakini unaambiwa Cinderela ndio wimbo mwingine ambao mpaka sasa una rekodi ya kuuza copy nyingi Afrika Mashariki mwaka 2008.
Sehemu ya mafanikio yake mengine ni pamoja na kushinda tuzo mwaka 2012 best Rhumba/ Zouk ya “Dushelele” kwenye tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards. (KTMA).
Kuhusu hizi nyimbo mbili mpya, unaweza kuzisikiliza kwa kudownload bure na kwa njia rahisi kupitia hapa kwenye hizi link hapa chini www.mkito.com
Kudownload ni rahisi, ukibonyeza download utaletewa sehemu ndogo ya kuchagua kuingia kwa facebook au google, chagua moja wapo alafu ujichukulie wimbo wako mtu wangu

<<< PLAY HAPA>>>

0 comments:

Chapisha Maoni