.

Alhamisi, 24 Julai 2014

DIAMOND KATIKA LEVEL NYINGINE TENA,ATAJWA KUWANIA TUZO ZA TFAAS,KUCHUANA NA YAYA TOURE

Diamond Platinumz anaendelea kuongeza CV
katika muziki wake kwenye level za kimataifa
baada ya kutajwa Jana kuwa mmoja kati ya
vijana wa Afrika wanaowania tuzo kubwa ya
The Future Africa Awards& Summit (TFAAS
2014) zitakazofanyika Lagos Nigeria, July 31.
Waandaaji wa tuzo hizo wametangaza
vipengele kumi vyenye majina matano katika
kila kipengele baada ya kupokea
mapendekezo kutoka katika bara zima la
Afrika kupitia kamati yake maalum.
Utoaji wa tuzo hizi unatajwa kuwa tukio la
pili kwa ukubwa linalohusu vijana kaika bara
la Afrika.

0 comments:

Chapisha Maoni