Sasa Diva kaamua kutukutanisha wote ili tufahamiane vizuri kwente Selfie Night kama litakua limekuacha kidogo jina hili la Selfie mtu wangu ni zile picha ambazo tunajikusanya kwa pamoja kisha kwa kutumia camera ya mbele kama simu au tablet tunajipiga picha wote.
Nimepata pia list ya wasanii baadhi watakaoperfoam kuwa ni pamoja na Linex,Mo Music,Gerry wa Rhymes,Timbulo,Y tone na Barakah Da Prince kutoka Mwanza pamoja na suprise kibao zilizoandaliwa ni jumapili hii June 08 pale Club Bilicanas
0 comments:
Chapisha Maoni