Mahmood mtoto wa nne wa Maraehemu Mzee Small amesema kuwa kesho wanategemea mwili kuuleta nyumbani kisha taratibu zote zitafanyika nyumbani ikiwepo dua ya kumuombea,chanzo cha kifo ni baada ya citiscan ni kwamba damu ilivilia kichwani.
Hospitali alipelekwa Asubuhi ya June 07 kisha saa 4 na dakika 9 usiku wa June 7 Mzee Small alifariki dunia
0 comments:
Chapisha Maoni