Inaonekana kama matunda ya kufanya track kali na kutoa video kali ndio chanzo cha kuanza kupata jina,kama ilivyotokea kwa Diamond Platnumz kuanza kuvuka mipaka na kuchukua riski kutumia hela nyingi kufanya video kali ambazo hadi hii leo zinazidi kumuweka katika chati ya juu ya muziki,
Shetta naye aelekea nchini sauzi, ila yeye akiwa yuko huko si kwa tuzo
za mtv peke yake bali alienda kufanya video yake mpya amabyo haikuweza
kujulikana mapema itwaitaje,kupitia account yake ya instagram Shetta
alipost picha nyingi akiwa miji mbali mbali huko sauzi huku akifunguka
kuwa amemaliza kufanya video yake nchini hapo,”Thnx God we done with my
video shoot n now m jas chilln with the Big director in Africa ”
-alifunguka shetta,hii inainyesha
0 comments:
Chapisha Maoni