.

Ijumaa, 6 Juni 2014

PICHA:HUYU NDIO MTOTO WA KIKE WA R KELLY ALIYEJIBADILI KUWA MVULANA




Dunia inasurprises nyingi, kuna watu hawapendi muonekano wao na hufanya juu chini hata kufanya upasuaji ili wawe na sura ya mvuto lakini wapo wengine ambao hawapendi kabisa jinsia waliyopewa na Mungu.
Mtoto wa mfalme wa R&B, Robert Kelly aliyezaa na muigizaji Andrea Kelly aliyewahi kuwa mke wake ameipinga jinsia yake na kujiunga na kundi la watu wanaoishi kwa mtazamo tofauti na jinsia zao na kujibadilisha kuwa jinsia tofauti japo sio kwa kubadili viungo vya uzazi (Transgender/FTM). Mtoto huyo wa kike mwenye umri wa miaka 14 anaefahamika kwa jina la Jaya Kelly, hivi sasa anaitwa Jay Kelly na anaonekana kujuta kuzaliwa msichana.
:

0 comments:

Chapisha Maoni