Zikiwa zimebaki siku chache tu kabla ya kusitishwa kwa zoezi la upigaji kura za tuzo za MTV MAMA, mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita amemsupport Diamond kwa kuwaomba mashabiki wa muziki na Watanzania kwa umoja kumpigia kura msanii huyo.
<< play >>
0 comments:
Chapisha Maoni