.

Jumatatu, 26 Mei 2014

BEYONCE, JAY Z WAIKACHA NDOA YA KANYE



Kanye West na Kim Kardashian wakifunga ndoa.
Eneo walilofungia ndoa mastaa hao.
Mastaa walioingia mitini Jay Z na mkewe Beyonce.
Fort Belvedere walipofungia ndoa mastaa Kim na Kanye.
Kanye na Kim wakati wa maandalizi ya harusi yao.
Mastaa Jay Z na mkewe Beyonce ambao ni marafiki wa karibu wa Kanye West hawakuhudhuria harusi ya kifahari ya staa huyo aliyemuoa Kim Kardashian jana kwenye ukumbi wa Fort Belvedere nchini Italia. Mbali na mastaa hao, pia kaka wa bibi harusi Kim, Rob naye aliingia mitini.


0 comments:

Chapisha Maoni