.

Jumatano, 28 Mei 2014

TAZAMA MIJENGO NA MAGARI ANAYOMILIKI MASANJA ...RESPECT SANA

  Masanja-Mkandamizaji-vibe-co-tz

 

Masanja Mkandamizaji si jina geni masikioni mwa watu wengi kutokana na uwezo wake wa kuwavunja mbavu watazamaji pale anapoonekana katika runinga na Kundi la Original Comedy.

Wakati anaanza maisha masanja alikua akikaa kwenye   ‘geto’ lake  maeneo ya Tabata Aroma huku akilipa kodi ya TSh. 5,000 kwa mwezi lakini hii leo masanja anamiliki nyumba mbil iza ukweli huku moja ikiwa ni ya ghorofa maeneo hayohayo ya Tabata  na pia anamiliki magari kama Toyota Land Cruiser V8 ma mengine.
Masanja-Mkandamizaji-Mali-zake-vibe-co-tz

0 comments:

Chapisha Maoni