.

Jumamosi, 31 Mei 2014

SAHAU YA OMMY DIMPOZ, ANGALIA KUFURU ZA PREZZO SASA…ALIYOFANYA HUKO UGHAIBUNI

SAHAU YA OMMY DIMPOZ, ANGALIA KUFURU ZA PREZZO SASA…ALIYOFANYA HUKO UGHAIBUNI



Baada ya story za hapa town kuzagaa kuwa Ommy dimpoz amefanya shopping ya maana huko majuu, ila ishu ilikuwa pale alipofanya matumizi ya viatu aina ya sneakers yaliyokuwa yanalingana na kipato(mshahara) cha mtu wa kati cha miezi mitatu hivi. hili jipya sasa kwa upande wa msanii wa kenya Prezzo baada ya kufanya kufuru zaidi. Hivi karibuni Prezzo ameonekana akivalia sneakers kutoka kwa designer maarufu wa kimataifa wa viatu ajulikanaye kama Christian Louboutin, viatu hivyo vina thamani ya shilingi milioni mbili = (2,000,000/-), viatu adimu kuvikuta kwenye maduka yetu haya ya kawaida ya kitaa, tukio lilowaacha mashabiki wengi mdomo wazi pale walipogundua haswa thamani halisi ya viatu hivyo.

0 comments:

Chapisha Maoni