Kabla ya kutoa ‘Dance 4 Me, Martins ambaye pia ameshafanya kazi na baadhi ya wasanii wa Bongo akiwemo Ommy Dimpoz, AY na Mwana FA alishika chat nyingi Afrika kupitia single yake iliyopita aliyomshirikisha DJ Arafat.
Isikilize single mpya ‘Dance 4 Me’.
<< play hapa >>
0 comments:
Chapisha Maoni