Wema
sepetu pamoja na kua talk of the town kwa kutoka na mkali wa Bongoflava
Diamond Platnumz , lakini hachoki kuonesha upendo pia kwa rafiki zake
wa karibu. Baada ya kupiga picha huku akimbusu manager wake Martin
Kadinda , sasa ni zamu ya Mtangazaji wa kipindi cha 5 Select ya East
Africa TV (Channel 5) , Tonny Albert (tbway360) kupata upendo wa wema.
0 comments:
Chapisha Maoni