.

Ijumaa, 16 Mei 2014

mhhhh huwahawaishiwi vituko hawa ni BAADA YA KIMNYA CHA MDA MREFU ..IRENE UWOYA ATUPIA PICHA ZA UTATA MTANDAONI






Kupiga Picha za ajabu au za utupu kabisa imekuwa ni desturi kwa wasanii wetu hasa wasanii wakubwa kabisaaaaa, leo camera yetu imenasa picha za irene uwoya akiwa nusu utupu kabisa




Gal on fire she is back again staa irene uwoya, she was quite for a while, lakini ujio wake mpya alokuja nao umekuwa wa kishindo n people were so suprised, kiukweli to staaz kuvaa taulo na kupiga picha akivaa taulo na kutupia kwenye mitandao ya kijamii ni jambo la kawaida sana, leo mtandao wa makubwa haya tumezinyaka picha hizi kwenye mitandao ya jamii, na funs wakawa wanacoment, kuna wengine walicoment kawaida wengine waliponda, but all in all kwa mastaa kama irene uwoya kuvaa taulo hauni kama ni ki2 cha ajabu coz everybody do so. Alisikika akimalizia kisema hvyo kwa funs wake.

0 comments:

Chapisha Maoni