.

Jumamosi, 31 Mei 2014

EXCLUSIVE PHOTO: PANAPOFUKA MOSHI? .......PENZI LA KITALE NA PENNY




Juzi niliposti picha ya KITALE (Kwasasa unaweza kumuita MKUDE SIMBA) [ONA HAPA] akiwa anapigwa KISS ZITO na PENNY lenye hisia kali (Daah mtoto P hadi akafumba macho).....Nikawaachia wadau MKOMENT..Sasa leo tena mwanadada Penny Kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM ametupia hii....Sina cha ku-comment zaidi ya kukumbuka msemo wa PANAPOFUKA MOSHI....UJUE KUNA MOTO!

JUST A KISS!!! Ona Mkude Simba anachofanyiwa na Penny!!


Hehehehe mimi sina chakuongeza hapo.....Ila kaka yetu (MKUDE SIMBA) kama hakuwa COMFORTABLE hivi.....Hawa madada wa mjina NOUMA SANA...siunakumbuka ile ya DIVA
Hii sasa ni ya PENNY ( yeah yuleyule aliekuwa wa Diamond P)
Ila tuache utani huu Mkisi una ma hisia hadi macho kufumbaaa.....Hii nawaachia mmalize wenyewe!!!
KISHA KAANDIKA

0 comments:

Chapisha Maoni