vikuku ni tamaduni za kiafrica. ni urembo wa kupendezesha kiungo kama
kuvaa cheni shingoni, helen sikioni, pete kidoleni, bangili mkononi,
kipini puani shanga kiunoni na kikuku mguuni, mbona tukivaa shingoni
hawasemi?? kwani mguu ni sehem ya siri hadi kusema ni vibaya, mimi
nafikiri ni fikra za watu tena fikra potofu,
mimi napenda sana na ninavaa, siku nikivaa gold heleni na cheni basi
napiga kikuku cha gold siku nikivaa silver heleni na cheni napiga kikuku
cha silver siku niamua kuvaa culture, basi hata kikuku kinakuwa culture
yote hiyo ni kupendezesha mwili wangu kama mwanamke.
tukiangalia ktk kabila la wamasai, hadi wanaume nao wanavaa tena ni
wote, sasa je nao wale wote wanatumia tigo????? acheni fikra potofu
watanzania, lile ni pambo msilitafsiri kiviile.
Lakini mtaani wanasema ni biashara ukivalia kulia straight ila hautoi
tigo , kushoto tigo posibility and miguu yote anything goes
Jumatano, 2 Julai 2014
FAHAMU MAANA YA KIKUKU KUVALIWA MIGUUNI HAPA
17:53
No comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni