Msanii wa filamu za vichekesho, Kitale, ambae kwa sasa anatambulika
zaidi kwa jina la ‘Mkude Simba’ amekanusha kuwa hajawai kuwa na
mahusiano ya kimapenzi na Vj Penny ambae aliwai kuwa mpenzi wa zamani wa
Diamond.
Kitale akizungumza Global TV
hivi karibuni ,amekanusha uvumi huo, ambao uliambatana na picha zinazo muonyesha Penny akimbusu Kitale.
“Penny mimi sina mahusiano nae yoyote, siyo kweli sina mahusiano nae ,
mimi nina ndoa yangu na nina mke wangu na nina mtoto, naiheshimu ndoa
yangu”Alisema Kital
Alhamisi, 26 Juni 2014
KITALE NA PENNY AKUNA SIRI TENA
03:32
No comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni