
”Kwa sasa nimeamua kurudi shule na naendelea na kidato cha tano,kwanza umri unaruhusu na malengo yangu ni kufika elimu ya juu kabisa.Ile dhana kuwa wasanii hatupendi shule kwangu haipo naamini nikiwa na elimu ya kutosha nitafanya kazi kwa kujiamini zaidi so mashabiki wangu wajue napiga book na sanaa bado ina nafasi yake kama kawa.”
0 comments:
Chapisha Maoni