.

Jumanne, 17 Juni 2014

AMINI AMPA MIMBA MKE WA MTU






Msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa Tzee Amini Mwinyimkuu aka Amini, maisha yake yameanza kuwa ya wasi wasi baada kumpachika mimba mke wa mtu, inasemekana kuwa mwanamke huyo anamwambia Amini kuwa ingawa hata toa huduma juu ya mimba hiyo atamwambia mme wake, baada ya janga hilo Amini alisema.

“Nilikuwa natokanae lakini sikujua kama ni mke wa mtu coz alikuwa anashinda kwangu, baada ya mambo kuwa magumu alidai kuwa ni mke wa mtu kiukweli mimi sija muelewa na wala akili yangu haisomi kabisa”

0 comments:

Chapisha Maoni